Huu ndiyo utaratibu wa Diamond Platnumz kubadili jina

Huu ndiyo utaratibu wa Diamond Platnumz kubadili jina

Hiyo namba 2 kusajili deed poll siyo posta mzee
Ni wizara ya ardhi pale ndiyo wana sajili

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ni kwa Registrar of titles na kwa hapa anakuwa registrar of documents na kwa Dsm ofisi ya msajili ipo Posta karibu na feri kule, na kila mkoa now una deputy registrars so siyo lazima wa mkoani waende wizarani Dodoma
 
Tuzo zake, vyeti majina ya watoto atabadili?
Ukishabadili jina hiyo deedpoll iliyosajiliwa unaiambatanisha pamoja na vyeti vyako every where you go, kwa mfano kwa kutumia hiyo deedpoll unaweza kubadili vitambulisho vya benkiz nida nk
 
Back
Top Bottom