Ni kwa Registrar of titles na kwa hapa anakuwa registrar of documents na kwa Dsm ofisi ya msajili ipo Posta karibu na feri kule, na kila mkoa now una deputy registrars so siyo lazima wa mkoani waende wizarani Dodoma
Ukishabadili jina hiyo deedpoll iliyosajiliwa unaiambatanisha pamoja na vyeti vyako every where you go, kwa mfano kwa kutumia hiyo deedpoll unaweza kubadili vitambulisho vya benkiz nida nk