Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

Niliwahi kusema humu, Alikiba anashindana na mtu ambae hana time nae, mwenzie ka focus mbali sana, yeye anawaza HAPA tu,

By the way ngoja Team Kiba waje hapa uone wanavyotoka Povu!
Nyie ndo mnaanzaga mapovuu mtoa mada hahaegemea upande wowote na nyie Fanya Kama hivo
 
Ali kiba anapenda kujilinganisha na diamond ili jina lake lisikauke midomoni mwa watu, kwa mfano sasa hivi kiba kaja na gia ya kushindana kipesa na diamond ili akuze jina lake
Hivi Ali kiba kuna sehemu alishawahi kujilinganish na domo au nyie ndo mnamlinganisha
 
Napata tabu hapa"hajui kuimba"
Sio hajui kuimba bali Hana sauti ya kuimba , sauti yake inatengenezwa Sana na vyombo, huo ndo ukweli ndo maana TI alikataa kufanya nae collabo kwasababu sauti Hana, na Kama itatokea diamond kwa sauti yake hii akafany collabo na kina Rihanna, R Kelly n.k nabadili jinsia
 
kiba sio wakushindanishwa na Mondi, na kama mondi asingekuwepo usinge sikia kiba akiwa kwenye chati kama huamini mondi atoeki sahivi kama alivyotoeka kanumba alafu uone kama utasikia kama utamsikia kiba akiwa kwenye chati , nisawasawa na watu walivyokuwa wanamshindanisha Rey na kanumba , wakisema Rey ni mkali , sasa kanumba hayupo tena je unamsikia Rey kwenye chati tena?, tuwe wazalendo tumkubali mtu na kumpa sapoti ili aendelee kuipeperusha bendera ya Tanzania hadi Dunia nzima , maana Africa tayari ila tusimvunje moyo na kusema hajui kuimba eti kiba ndo anajua sasa kama anajua je ashawahi kuleta tunzo ata moja kutoka nje, sialishiriki kwenye "Hands Across Africa" na wasanii kama ,R Kelly, Fally Ipupa, 2Face, je alishawahi kufanya kolabo na msanii mmoja kati ya hao? ile ni bahati ilimkuta tu kwasababu kipindi kile Diamond hakuwepo kwenye game ila angekuwepo kiba asingepata hiyo nafasi hiyo nafasi ingekuwa kwa Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…