Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Waambie waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ume quote thread ndefy hiv ili uandike ulichoandika hchoAli kiba kiazi tu, anapenda kujilinganisha na diamond ili jina lake lisikauke midomoni mwa watu, kwa mfano sasa hivi kiba kaja na gia ya kushindana kipesa na diamond ili akuze jina lake
yah kama nimekosea sehem ruksa kunirekebishaYani ume quote thread ndefy hiv ili uandike ulichoandika hcho
Akachangie kwengine unampangia sasa?mfano pale diamond alipochangia million 20 yeye kiba akatoa 21 katika shirika hilo hilo moja kama kiba hakutoa zile pesa kwa ajilli ya kiki kwa nini asingechangia sehemu zingine
Kiba kaongea hayo au?alafu kuna habari imetoka kwamba kiba anataka anunue gari la million 700 ili amfunike dai
najua ni vigumu kuukubali ukweli, ila ukweli ndio huo kama hutaki baridi sio kesi wala niniAkachangie kwengine unampangia sasa?
Do u know anything about GSM?.
soma taratibu utaelewa....Anajua lakini sio kwa level za Ali KibaBado sijaelewa hapo mnaposema Diamond hajui kuimba.
soma taratibu utaelewa....Anajua lakini sio kwa level za Ali Kiba