Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

Huu ndiyo utofauti wa Kiba na Diamond

Ali kiba kiazi tu, anapenda kujilinganisha na diamond ili jina lake lisikauke midomoni mwa watu, kwa mfano sasa hivi kiba kaja na gia ya kushindana kipesa na diamond ili akuze jina lake
Yani ume quote thread ndefy hiv ili uandike ulichoandika hcho
 
Mmeongea uhalisia nimewaelewa mno....mond yuko vyema kusaka fursa zaidi na kweli katusua kuliko uyo kiba....swala lakua na sauti nzuri mbona wala sio swala la msingi .....jambo ni nani anaweza kuitumia fursa vyema ......mond yuko juu! !
 
afu nashangaaga sana mnaposema
diamond hajui kuimba wakati akitoa miziki mitaani inaimbwa sana kuliko mziki wowote...
hapo hapo mnasema hana sauti
lakini sauti hio hio ndo inampeleka kimataifa...
tusikariri hayo maneno kwamba kiba mwanamuziki ,diamond mfanyabiashara/msanii
diamond sio bakhresa hauzi unga wa ngano
anaimba mziki ,kikubwa kinachomfanya afike mbali ana juhudi na upeo...
ndio maana hajachuja tangu atoke...
 
Nampenda Diamond aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.

Nyimbo zake zinanipa raha, nikisikia sauti yake najisikia furaha tele..juu ya yote hayo napenda juhudi yake sana ya kupanda juu katika mengi. Pia anajiheshimu sana na ana heshima na nidhamu sanaaaa na ni izi goingi hana wivu anasaidia kuendeleza wengine anapoweza....

Mungu azidi kumbariki.
 
nilimsikia kiba kwenye nyimbo ya njiwa nadhani 2005 jamaa anasauti nzuri, simjui vizuri ila naona kama haja jipambanua vizuri kibiashara. Mondi ana sauti nzuri japo hamfikii kiba ila nacho penda ni mpambanaji na ni mtoaji, kwenywe mahojiano yake utajua tu ni mtu asiye na makuu
 
Diamond Kiukweli kwa sauti ya kuimba hapana akina Barnaba wanamzidi akina alikiba na wengine! Lakini Diamond anasauti fulani ya kipee sio Sauti ya shule(ile kama ya Barnaba toka THT) ila anasauti fulani amaizing ambayo kama imezoeleka hivi huku kama haijazoeleka!!!

Diamomd nacho mpendea Ni kujitumaaaaaaa haijalishi mziki umeanza lini tunacho angalia mafanikio kuajiri vijana 30 sio kitu kidogoooo!! Vijana 30 wanaendesha familia zao kupitia diamond means zaidi ya watu 150 wanafaidika kupitia mziki wa Diamond! Ni kweli pengine hajui kuimba lakini ile kujituma ndo Mimi hoi jamaaa anajituma!!!

Wanasema ana dharau ila mm sioni dharau nacho kiona kwakwe ni kujiweka bize na kuheshimu kazi!!!

Vizuri tuige hasa Diamond ni lazima vijana wenzangu tumtumie kama mfano huenda usitoboe kupitia mziki lakini ile content ya kujituma ndo nzuri!
 
Hiyo Hands Across Africa iliwahi pigwa redio? Redio gani hapa Tanzania? Huku Namtumbuka tunapata rtd tu tena antenna ikiwa vizuri
 
eti wati wanakubaliana ally liba ana sauti kubwa kushinda Diamond...

watu gani hao..... mnataka kutuaminisha Diamond hana Sauti.... labda mje mtuambie nyimbo zenye sauti Tamu kama Nenda kamwambie, ukimuona, ntampata wapi kizaizai ziliimbwa na ally choki
 
Back
Top Bottom