Huu ndo mchezo mchafu wa baraza waloufanya kwenye matokeo ya form 6

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
Ndugu zangu poleni na majukumu mazito mlonayo katika kuijenga nchi yetu.
Kwa wanafunzi wote na wazazi hongereni na poleni sana kwa matokeo yalotolewa na baraza.
wapendwa katika upeo wangu mdogo nlonao nimechunguza kwa umakini matokeo yaliyotolewa ya 4m 6 nimebaini kuna ufelishwaji wa wazi katika somo la general studies (g.s) , wakuu ibainike kuwa ufaulu wa g.s ni somo muhimu sana katika udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu.
napata shaka kubwa sana kuamini kuwa wanafunzi wameshindwa kufaulu kabisa somo hilo ihali ni somo la kutumia knowledge katika kulijibu wala huhitaji kukesha darasani ucku kucha ukilisoma.

my view:
1:Baraza (necta) wameamua kuwafelisha ili wanafunzi wasiweze kudahiliwa na TCU katika elimu ya juu.
2:Baraza (necta) wanataka wanafunzi warudie mtihani wa g.s ili kupoteza mda kwa wanafunzi ili waweze kufaulu
3:Baraza (necta) wanataka wanafunzi wakasome diploma.
4:Hii ni hasira ya baraza baaada ya kuamrishwa na serekari kustandardize matokeo ya form six na form four.
5:vyuo vikubwa vitapandisha marks za udahili katika vyuo vyao hii ni kutokana na kuhofia kupata wanafunz wabovu especially UDSM, SUA , MUHAS N.K

NOTE :
Hii itawaathiri wale wenye principal mbili tu yaani E, E coz watakuwa wana point 2.0 so hawataweza kudahiliwa na TCU coz hawatakuwa na point 2.5

.
samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza ama kumkwaza mtu.

REMEMBER.
According to TCU ili mwanafunzi achaguliwe kujiunga na elimu ya juu lazima awe na principal mbili yaani E,E alafu lazima awe na point not less than 2.5 which mean that lazima uwe umefaulu G.S which have 0.5 which make total of 2.5 from 2 principal.
 
Ondoa Upuuzi wako hapa, nyie ndio mnachangia kuangamia elimu kwa kuleteleta porojo kwenye masuala muhimu.
 
So unataka kuniambia mtu mwenye physics-D chemistry-C biology-C General studies F Bam S
hawezi kujiunga chuo kisa na F ya Gs????
You are totally wrong!

Sababu zako zinaaply tu kwa mtu mwenye principal 2 yaani E,E so lazima apate support ya GS
ila ukishakuwa na kuanzia principal tatu GS haiwezi kukusumbua!

HAYA TOA UPUUZI WAKO HAPA!
 
Ndugu yangu mwaka jana alipata f gs na bado akajiunga udsm for mechanical engineering na mkopo wa asilimia 87
 

acha kujitetea wewe umefeli afu unasema umefelishwa tena shukuru form 4 waliwasaidia na aliyekwambia ukifel gs chuo huend ni nani? uliza kwanza kijana
 

Nenda kamwambie Kawambwa ili wa standardise
 
Ww kama una mswaki wa G.S jifariji lakini madhara yake utayaonaa wakati post za chuo zikitoka
 
Pole dogo kachukue result slip yako ivo ivo hatutaongeza maks kama wenzenu wa olevo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…