Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Yap aisee dah!Sio mchezo mgumu kuliko yote ila huu unaradha yake
Dr ShikaUnaitwaje?
Hahahaaaaaaaa huu mchezo balaaUsisahau KuSUBSCRIBE ukurasa wangu baada ya kufurahi na aina ya huu Mchezo
hahahaaUnaitwa japanese game show slipper. Kitambo tu hata mie nilishaucheza tukiwa watoto,tulitengenzeza utelezi wa matope kisha tunashinda kukpita kwa speed ambae ajaanguka ndo mshindi. Masharti ni lazima eneo hilo liwe na mtelemko kiasi.
Pagumu hapo utacheka ufe na raha yake uwe mtazamaji
hahahahahahahUsisahau KuSUBSCRIBE ukurasa wangu baada ya kufurahi na aina ya huu Mchezo
sio mchezo "hatari" ila ni mchezo mgumuMbona ni mchezo mzuri tu