Huu ndo mchezo mgumu kuliko yote Duniani

Huu ndo mchezo mgumu kuliko yote Duniani

Hapo kaa lazima wapatikane wangeweka njia tofauti ya kupandia juu
 
Unaitwa japanese game show slipper. Kitambo tu hata mie nilishaucheza tukiwa watoto,tulitengenzeza utelezi wa matope kisha tunashinda kukpita kwa speed ambae ajaanguka ndo mshindi. Masharti ni lazima eneo hilo liwe na mtelemko kiasi.

Pagumu hapo utacheka ufe na raha yake uwe mtazamaji
 
hahahaa
 
wakipelekwa wabongo hapo wanapanda bila shida hata kwa njia za kufoji
 
Mchezo mgumu niliowahi kuuona ni ule wa kuruka toka juu ya gholofa na kutumbukia kwenye sinki la maji.
Huo mchezo hata nikiahidiwa madola mengi sithubutu kuucheza.
Ila huo wa kuteleza nakubali kuucheza mda wowote hata kwa kutolipwa pesa.
Ni mchezo wa siku za mapumziko.
 
Hawa wachina naona michezo imewaishia ss,, na sijui wamepaka nn hapo chini aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom