watu wa kutap tap screen, tumeni gift guys haiwatoshi hii unlimitedSuh! Mimi naishiaga 200 gb matumizi binafsi
Upo sahihi, unlimited haimaanishi kwamba unatiririka tu bila kikomo, ni kwamba ukimaliza zile GB walizokupangia (ceiling/quota) wanashusha speed ya mtandao. Mbaya zaidi hizo GB ulizopangiwa kwa mwezi huwa hawakuambii ni kiasi gani.Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream movie, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu ghafla, katikati ya mwezi, mtandao unalala kuhusu makampuni kutumia neno "Unlimited" kwenye matangazo yao wakati wanajua kabisa kuna kikomo (Cap) cha 400GB? Huu si utapeli wa wazi
na wanakukadiria hazifiki hata hizo GB 400Upo sahihi, unlimited haimaanishi kwamba unatiririka tu bila kikomo, ni kwamba ukimaliza zile GB walizokupangia (ceiling) wanashusha speed ya mtandao. Mbaya zaidi hizo GB ulizopangiwa kwa mwezi huwa hawakuambii ni kiasi gani.
Nina router ya hawa wanaobadili jina kila leo, wapo pale Gerezani Kariakoo. Sijakutana na shida ya kukatiwa speed, na kila weekend na stream mechi zote na kwa sasa mechi za kombe la dunia naangalia kwa bundle lao. Wao wanauza 10 MBPS kwa 70,000/- kwa mwezi. Inawezekana sijawahi kumaliza quota niliyopewa.Nakumbuka mwaka juzi nilienda hadi makao makuu yao pale Morroco nikiwa nimebeba Router yangu.
Nikarudi mtaani nikawa nasonga nayo kibishi. Eti ikiwa imebaki siku 1 kifurushi kiishe wakaniletea speed ambayo hata sikuwahi kuipata yani walinipa 40Mbps.
Sema 10Mbps ni ndogo sana pengine ndio sababu huwezi kuona throttlingNina router ya hawa wanaobadili jina kila leo, wapo pale Gerezani Kariakoo. Sijakutana na shida ya kukatiwa speed, na kila weekend na stream mechi zote na kwa sasa mechi za kombe la dunia naangalia kwa bundle lao. Wao wanauza 10 MBPS kwa 70,000/- kwa mwezi. Inawezekana sijawahi kumaliza quota niliyopewa.
ingekuwa mbele lazima ma IT wangelifuatilia hili jambo na kubaini hili jambo undani wake....ila kibongobongo ma IT wetu ni mafundi simu na mawinga tu.Basi kwasababu na mimi ni mtumiaji sana wa internet na sikuwa na alternative maana huko TTCL niligombana nao, ikabidi niendelee tu kutumia hivyo hivyo ila nikiwa na tahadhali ya kuepuka matumizi makubwa.
Sasa mwezi wa 6 tarehe 19 nimeunga kifurushi cha 70K lakini kufika tarehe 05 ya mwezi huu, speed ikashuka.
Mwanzo nilijua ni network kwasababu Airtel wanakawaida hiyo na huwa wanatuma meseji za kuomba radhi.
Lakini nilipokaa siku 2 zaidi ndio nikagundua kuna kitu hakipo sawa watakuwa wameshusha speed.
Swali ambalo najiuliza mbali na ku stream mechi nimejizuia sana ku stream movies, kwanini speed ipungue kabla hata siku 20 hazijafika.
Miezi mingine yote hiyo unakuta speed inapungua baada ya siku 25 za matumizi, kwa hiyo zile siku 5 huwa naona fresh tu hata nisipopata high speed.
Ila speed kuisha ndani ya siku 15, hiki kitu sio cha kawaida kuna namna wamepunguza ile limit. Sidhani kama itakuwa ni 500GB au 400GB kama ambavyo mtoa mada kasema, kuna namna itakuwa ni below 300GB.
Na mbaya zaidi hatuwezi kuona hizo data usage kwa usahihi kwasababu mifumo ya Router inayo count monthly usage imesetiwa kila mwezi inaji reset na kuanzia 0.
So ni mpaka wao wenyewe wakuambie kuwa umetumia kiasi gani. Na hatuwezi kujua pia kama data cap waliyoweka imepunguzwa, hiyo wanabaki kuwa siri yao na ukitaka ugombane nao basi jaribu kuulizia kuhusu hilo jambo.
Kaka mamlaka zipi wew unayetaka ziingilie ndugu..nchi ishaoza hii ,!Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream movie, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu ghafla, katikati ya mwezi, mtandao unalala kiasi kwamba hata kupakia picha ya kawaida inakuwa mtihani. Unapiga simu huduma kwa wateja, wanakuambia "Kifurushi chako kiko sawa kabisa mteja wetu."
Hapo ndipo unapoingizwa mjini na uhuni wa kimkakati unaoitwa Fair Use Policy (FUP). Angalia jinsi unavyopigwa
👇
1. Fair Use Policy: Maana ya "Unlimited" ya Mchongo
Neno "Unlimited" kwa Kiswahili lina maana ya "Bila Kikomo." Lakini kwenye kamusi ya biashara ya kampuni za simu, maana yake ni tofauti kabisa.
Mkataba wa Maandishi Madogo: Kampuni hizi zinajua hakuna mtu anayesoma yale maandishi madogo ya masharti na vigezo (Terms & Conditions) yaliyofichwa chini kabisa ya website zao. Huko ndiko walikoficha sheria hii ya FUP inayowapa haki ya kukupunguzia spidi ya internet pindi tu unapotumia data nyingi.
Uhuni wa Kisheria: Wanadai internet ni unlimited kwa sababu haikatiki kabisa—yaani huwezi kuona salio likisoma 0.00MB. Lakini wanachofanya ni kuipunguza kasi yake hadi inakuwa haina faida tena kwako.
2. Mfano Hai: Airtel unlimited yaTSh 70,000
Hebu tuangalie uhuni huu kwa mfano halisi unaoumiza wapambanaji wengi wa kidijitali:
Ahadi ya Kwenye Bango: Wanakuuzia kifurushi cha router cha mwezi kwa TSh 70,000 wakikuahidi spidi ya hatari ya 25Mbps na neno "Unlimited" limeandikwa kwa herufi kubwa.
Ukweli ni kwamba: Kifurushi hicho kina kikomo cha 400GB tu! Ukishafikisha matumizi hayo (ambayo kwa familia inayostream au ofisi ndogo ni mapema tu ndani ya mwezi), spidi inashuka kutoka 25Mbps hadi 1-3Mbps!
Kasi ya Kinyonga: Spidi ya 1Mbps kwenye router ni sawa na matusi. Huwezi kustream video ya maana, kupiga simu za video ni mtihani, na kazi zako zote zinasimama. Ili urudi kwenye spidi ya kawaida, unalazimika kusubiri mwezi uishe au ununue bando lingine la juu (Top-up). Huu ni uhuni wa kiwango cha lami!
Mfano Rahisi wa Kuelewa:
Huu uhuni ni sawa na uende kwenye mgahawa unaouza chakula (Buffet) kwa bei maalum. Ukishakula sahani mbili za kwanza, mhudumu anakuja anakunyang'anya kijiko kikubwa, anakupa kijiko cha chai, alafu anakuambia: "Chakula bado kipo na unaweza kuendelea kula hadi ushibe, lakini utatumia kijiko hiki hiki cha chai." Je, utashiba au utaondoka kwa hasira?
Hapa ndipo akili inapotakiwa kuchemka na kuhoji:
Inakuwaje mamlaka za udhibiti zinaruhusu makampuni kutumia neno "Unlimited" kwenye matangazo yao wakati wanajua kabisa kuna kikomo (Cap) cha 400GB? Huu si utapeli wa wazi
Hao wenye mamlaka ndiyo wana maslahi binafsi ,wanahisa kwenye hizo kampuni na ndiyo maana wamemkatalia Elon kuuingiza internet yake.Kaka mamlaka zipi wew unayetaka ziingilie ndugu..nchi ishaoza hii ,!
inshort tumo kwenye ncha sio nchi tena..Hao wenye mamlaka ndiyo wana maslahi binafsi ,wanahisa kwenye hizo kampuni na ndiyo maana wamemkatalia Elon kuuingiza internet yake.
Kutumia satellite internet ndio suluhusho. Ni free , kuanzia saa 5 usikuMkipata options nzuri nzuri tushtuane wakuu.