Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
inapatikanaje hapa Tz?Kutumia satellite internet ndio suluhusho. Ni free , kuanzia saa 5 usiku
inapatikanaje hapa Tz?Kutumia satellite internet ndio suluhusho. Ni free , kuanzia saa 5 usiku
Wewe unafikiri star link wakati haya makampuni yanayo operate hapa nchni wana hisa nayo.wao ni wajinga wapoteze kula yao Yao ?tusiposhughurika na hao mafisadi hatuwezi kutoboa hata siku.ili mambo yaende sawa ni lazima kuzifuta hizo cartels za wezi.Suluhisho ni ELON MUSK STAR LINK....ambayo wenyenchi wameipiga pini
Speed ikoje mkuuKutumia satellite internet ndio suluhusho. Ni free , kuanzia saa 5 usiku
Basi wanatakiwa na wao wauze volume based bundle. Siyo unlimited au time based bundle.Kwa mtazomo wa nje unaweza ukafikiri wanakosea ILA
Kibiashara wanachofanya kina logic/ ni sawa kwani, sioni kama unaweza kuwa na unlimited bila kuwa na internal control. Ujue kule nao wamenunua hiyo Internet (kwa GBs) hivyo wamekadiria kuwa na wateja pengine 2,000,000 ili wamaximize profit. Sasa wakiachia utumie tuuu, inamaana wanaweza kuishia kuwa na wateja kama wewe pengine 1.3m badala ya 2m iliyokusudiwa na hivyo kutokupata faida...
Ishu sio Ma IT, ishu ni mfumo.ingekuwa mbele lazima ma IT wangelifuatilia hili jambo na kubaini hili jambo undani wake....ila kibongobongo ma IT wetu ni mafundi simu na mawinga tu.
Kweli kabsawatu wa kutap tap screen, tumeni gift guys haiwatoshi hii unlimited
😅 🔥 Vijana wa ali khomenei wangeifanya chap hiyoingekuwa mbele lazima ma IT wangelifuatilia hili jambo na kubaini hili jambo undani wake....ila kibongobongo ma IT wetu ni mafundi simu na mawinga tu.
Unafanyaje mkuu? Ni halali na sio wizi??Kutumia satellite internet ndio suluhusho. Ni free , kuanzia saa 5 usiku
Naona Tigo wako vizuri. Nilikata 1TB kwa mwezi na bado speed haikushuka. Nilifanya hivyo kwenye kufurushi cha 10Mpbs.
Sasa inasemekana hadi kwenye Fiber ya TTCL mwezi huu wameanza FUP, kuna watu wameanza kulia huko..Shida ni kwamba internet ni biashara, hata hawa ISPs wa Bongo kwa majina ya makampuni ya simu, nao wanauziwa toka kwa ISP's wa nje...
FUP imewekwa ili kudhibiti uvujaji wa internet endapo matumizi yamezidi kiwango cha mnunuzi hivyo neno "Unlimited" lipo "Limited" kwenye kiwango cha "Usage"...
Yaani unapewa unlimited internet, but limited usage, kwamba utaendelea kuwa na internet hata pale matumizi yako yanapofika ukomo...(hii ni lugha tu ya kibiashara)...
Nchi nyingine huwa wana aina tofauti tofauti za bundles kulingana na mtumiaji, mathalani kuna bundle za gamers, students, business, family, streamers n.k yaani walishanya research ya user behaviour...