Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Huyu ni mwanaume kweli dah!!!

"ukijijua mchochezi...andaa mkojo"
 
Bila bila ndiyo maana nikaweka "masihi" yenye helufi ndogo...ningeweka "Masihi" hapo ungekuwa na haki ya kuongea!
 
King Kiba [HASHTAG]#KipusaUnstoppable[/HASHTAG] [HASHTAG]#seduceMe[/HASHTAG]
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami, badala ya kuwaunga mkono wote ili wazidi kusonga kimataifa, sisi tunakaa kushabikia mipasho na mambo ambayo hayataunufaisha mziki wetu na kuusongesha mbele kimataifa.
Ni upuuzi mtupu kwa wote hao (KIBA na MONDI na wanaoshabikia sijui uteam)
 
Back
Top Bottom