Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Ndio ukweli huo na kwa kuongezea ni kwamba kuna upungufu wa wanaume wenye mafanikio lakini hakuna upungufu wa wanawake wazuri. Kama huamini pita pale riverside utakutana na viumbe wa kike wazuri, wabichi hadi utajiuliza wanakosaje wanaume wa kuwahudumia au hata wa kuwahonga kazi nzuri hadi wanaishia kuuza vishimo vyao?
Vijana pigeni kazi, kama huna hela ila unadhan una demu jua huyo ni dem wa mtu.
Vijana pigeni kazi, kama huna hela ila unadhan una demu jua huyo ni dem wa mtu.