For women, children and dogs to be loved with no payback expectationsUnconditional love is for women? Kivipi?
Ukimaliza hapo kojoa ukalaleNdio ukweli huo na kwa kuongezea ni kwamba kuna upungufu wa wanaume wenye mafanikio lakini hakuna upungufu wa wanawake wazuri. Kama huamini pita pale riverside utakutana na viumbe wa kike wazuri, wabichi hadi utajiuliza wanakosaje wanaume wa kuwahudumia au hata wa kuwahonga kazi nzuri hadi wanaishia kuuza vishimo vyao?
Vijana pigeni kazi, kama huna hela ila unadhan una demu jua huyo ni dem wa mtu.
Hata Dax alisema kwenye wimbo wake wa To be a man......Nimewahi kumwambia mtu haya maneno
Ukimaliza kojoa ukalaleHapa tumetoka kushuhudia demu kamkataa jamaa yake live bar, anasema hamjui, hadi mabarmaid wa pale wameishiwa pozi sababu wanawajua
Na wewe ukimaliza kojoa ukalaleAfu hua wanasema hawapendi hela ila ukiwa nae mizinga kama kawa....
Wavulana sio wanaumeWanaume tunajipa unneccessary pressure sana ndo mana tunakufa mapema.
Wavulana wapo shule babuWavulana sio wanaume
Ila hizo bikra hivi huwa ni kweli? Na vipi zikishapanuka baada ya kuzitumia wanarenew au unapewa mali safi nyingineππ Majita akili huna, Sura JKT ,pesa huna na unakazana kupendwa !! ....komaa na maisha mwanetu 72BK ziko heaven.
Relax.