Huu ndo wakati sahihi kwa walimu kugoma

Mwanafikra huru

Senior Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
141
Reaction score
18
Ikiwa walimu hawakubaliani na matokeo haya kuendelea kukaa ma offcen tafsri yake ni nini?
Je wana kubaliana na matokeo haya?
I kiwa wana mgomo baridi hasara ya wanafunzi wanao chora mazombi ni kwa serikali au kwa wananchi na raia wasio kuwa na uwezo wa kuwapeleka watototo wao shule za private?

Iweje mwalimu ukubali kufanya kazi ambayo ufanisi wake hauonekani?
Na si kweli kama serkli haina pesa za kughalimika shule hizi zote ila mnajua kama serikali yetu inaenda kwa kuamshwa na kusukumwa

leo Manager wa Tanroad ana tembelea V8 wakuu wa Mikoa V8 wakurugezi katika halimashauli V8 makatibu wakuu mawaziri na manaibu mawaziri V8
walim mnasubili nini huko ma offecn mmezidi kulala na nyinyi ni wakati huu wa kuonesha ushajaa wenu bora ufukuzwe kwa kutetea wanafunzi waache kuchora mazombi mara 100 kuliko kukaa maiffen na mgomo wenu chai huo

Cc
¤RAISI
¤waziri wa Elimu
¤Walimu
¤WANANCHI
 
Mkuu hapa swala si kwa walimu kugoma,nini kifanyike ili kuzuia hali kama hii isijitokeze tena.tumeshuhudia kauli ya waziri mwenye dhamana na Elimu akikataa kujiuzulu,labda nguvu ya umma ifanye kazi sasa.
 
Sasa kama wazazi mko kimya walimu waandamane ili iweje kwani waliofeli ni watoto wao au hawapati mshahara ingawa hauwatoshelezi.....
 
Sasa kama wazazi mko kimya walimu waandamane ili iweje kwani waliofeli ni watoto wao au hawapati mshahara ingawa hauwatoshelezi.....

bora umwambie mwalimu aumie kwa lipi? ikiwa wazazi wao wakiwa hawaoni tatizo .
 
Nakubaliana nawe maana lile tishio la kufukuzwa kazi na kauli fyongo na zilizojaa ufedhuli wa hali ya juu za DHAIFU, "Asiyetaka kufanya kazi kwa mshahara huu ajihesabu amejifukuzisha kazi." hazitakuwepo kabisa.
 
Walimu oyeeeeeeee hu ndo mwanzo,hawa wanafunz waliofeli wana hasira sidhan kama kuna mmoja wao atapenda utawala uliopo wa elimu na cc...MAGAMBA,MI NISHAGOMA TOKA MWAKA 2008,aliposema "MKIMSIKILIZA MGAYA SHAURI YENU,MGAYA HAMTAMUONA MTAPOTEZA KAZI NA MAFAO YENU"Kauli ya ...!haya sasa amegundua kama walimu wana umuhimu?hata mashule ya kata yawe maghorofa na maabara na vfaa vyote bila kuongeza mshahara sawa na 0!
 
Ni hisia zako kuwa walimu wana mgomo barid au umefanya utafiti?,waligoma walimu wa serikal vip walimu wa private nao wana mgomo baridi? kwa kuwa hata huko mambo si shwar!
 
Walimu wote sasa wameamka wanafanya kazi kwa kulingana na mshahara wanaopata wanakaa shuleni kwa masaa matatu hadi manne baada ya hapo kila mtu na mishezake fika mashuleni ni usanii mtupu hawafundishi ipasavyo yaano kazi kwelikweli serikari ikiendelea kusema mshahara unatosha wa walimu walimu hawa si wale wa Juliasi. Wanauelewa mkubwa na maisha tusidanganyane walimu wameweka manyanga chini hasa hawa wa serikari huwaambii kitu. Serikari iendelee kuwapuuza tu utaona mwisho wake.
 
Sasa kama wazazi mko
kimya walimu waandamane ili iweje kwani waliofeli ni watoto wao au
hawapati mshahara ingawa hauwatoshelezi.....

Na wakiandamana tu wanapigwa na vitu vyenye ncha kali na vinavyoruka... Lazima wamwagwe utumbo...
 
Sikuelewi unamaanisha nini,,unataka walimu tugome mara ngapi,,walimu kwa sasa hatuna mgogoro na yeyote yule,,we are the proffesional,Kuthibitisha kwamba we are proffessional mtakuwa mnatusikilizia kwenye matokeo ndiyo mtapata -akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…