huu ni 1=uchawi 2=ujanja ujanja au 3=mazingaombwe.

huu ni 1=uchawi 2=ujanja ujanja au 3=mazingaombwe.

third eye chakra

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
918
Reaction score
2,160
kalibu tena katika muendelezo wa darsa zangu fikirishi na zenye kuamsha fikra chanya kwa wenye kutafakari.
leo nintatoa au kufundisha kitu ambacho kitafanyika majalibio kwa watu 22 wa humu humu jf kisha wao wataleta mrejesho humu humu.

1= kitakacho fanyika.
watu 22 nintawapa maelekezo yakuandika majina3 ya wanyama mfano fisi,simba na mbweha kwenye karatasi kwa peni nyeusi. watayaandika kila mtu kwa siri yake popote alipo.
majibu yatatumwa kwa picha kuja kwangu nami nintayapost hapa hapa kama ushahidi. nao itakua nikuthibitisha kwamba nikweli ndicho walicho kiandika.

2=jambo la kustaajabisha zaidi.
baina yawatu 11 kwenye idadi yawatu 22 wataandika jina la mnyama ambalo litafanana kwawatu 11.

3= jinsi ya kushiriki.
nitumie ujumbe pm unao someka kwamba.
nashiriki.
nami nintahesabu kuanzia ujumbe wa kwanza mpaka 22 hao ndio watakua washiriki wetu wa hii home work.
 
Na ww una nguvu ya jicho la tatu kama Chief Godlove?...

Sasa mwenzako anatengeneza hela ww unalitumia kubashiri
 
Na ww una nguvu ya jicho la tatu kama Chief Godlove?...

Sasa mwenzako anatengeneza hela ww unalitumia kubashiri
asante kwa ushirikiano wako kwenye uzi huu.
sasa napenda kukuuliza kwako pesa ina tafsirika vipi kwakufananisha na hii mada.
 
2=jambo la kustaajabisha zaidi.
baina yawatu 11 kwenye idadi yawatu 22 wataandika jina la mnyama ambalo litafanana kwawatu 11.
Hapo unatengeneza mazingira ya uongo tu..!!
Tutajuaje km hao watu wote wametaja hao hao wanyama utakaowasema..!!

Chezesha hapa hapa na mimi nashiriki… nishaandika tayari lete majibu..
 
Back
Top Bottom