Sidhani kama kuna mkoa Tanzania hii hakuna miti hiyo.Njombe! Kumbe yanastawi hata maeneo ya baridi! Nilifikiri ni mimea ya ukanda wa "semi arid"
Aisee!No
Sema tu wanafupisha hicho kikamilishi chake ni kigumu kidogo kutamkwa
Ndio nadhani yamo katika familia ya cactaceae ambayo ndani yake kuna mimea kibao ambayo mingine ni miiba kabisa na haizai matunda.Kwa hiyo ni familia moja na dragon fruits?
Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihiiAisee!
Lakini ukiona hakitamkiki ujue si jina lake halisi.
Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihiiAisee!
Lakini ukiona hakitamkiki ujue si jina lake halisi.
Mkuu, kwani ulipokuwa unasoma ulikua unapata mia kwa kila somo?Hayo cactus ndio huyajui?
Kweli watu hamna hata exposure ya ndani ya nchi?
Nenda Kawe pale karibia na Shule ya Feza yamejaa kibao.
Mimi nilikula Ludewa eneo moja wanaita Mlangali.Ni kweli yapo mengi sana ukanda wa Makambako, Wanging'ombe, Ilembula, Mtwango, Saja
Yanastawi kule.Njombe! Kumbe yanastawi hata maeneo ya baridi! Nilifikiri ni mimea ya ukanda wa "semi arid"
Kuna watu wanaofanya kilimo chake?Chakula safi sana hiyo ya Wachunga Ng'ombe porini. Ingawa inapaswa ulipasue kwa ustadi maana lina tumiba tudogo tudogo juu ya ganda, ukijichanganya ulimi udungwe kazi unayo.
Pia ukila hilo tunda ni kama pera, mbegu zake mzee zitarejea zimekodoa kodooo.
Kuna miti ya kuwa migeni kwa mtu mzima ipo mingi sana. Cactus hii hii ambayo mpaka watu hupanda kama mauwa? Mkuu kubali tu unaexposure ndogo, au pia si mfuatiliaji wa mambo yanayorun dunia.Mkuu, kwani ulipokuwa unasoma ulikua unapata mia kwa kila somo?
Hakuna mtu anayejua kila kitu! Nimetembea mikoa mingi Tanzania, karibia yote isipokuwa Mtwara na Lindi pekee, lakini sikumbuki kama nilishawahi kukutana na mmea kama huu. Nimeukuta inayofanana nayo lakini si kama huo.
Labda, nilikopita haikuwepo, au sikuiona kwa kuwa sikuwa ninaihitaji kuiona.
๐Mimi nilikula Ludewa eneo moja wanaita Mlangali.
Ehe mkuu nimekumbuka! Ila sisi hapo kwenye jina "Mafurahisha" mbele yake palikuwa na jina lingine. sijui ni kwanini waliamua kuyaita hivyo!Mafurahisha hayo au kwa kizungu ni cactus plant
Mid 70๐Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihii
Yani sehemu ya mwisho kabisa ya intestine na walikuwa na sababu
Hujamaliza sentensi mafurahisha......!?๐๐Mafurahisha hayo au kwa kizungu ni cactus plant
Asante kwa kutokuyafuatisha "makosa" ya wahenga!Ehe mkuu nimekumbuka! Ila sisi hapo kwenye jina "Mafurahisha" mbele yake palikuwa na jina lingine. sijui ni kwanini waliamua kuyaita hivyo!
Lakini imeeleweka! Kwa hiyo acha kama ilivyo๐Hujamaliza sentensi mafurahisha......!?๐๐
Huu mmea jina nmelisahau ila bonge la deal ni dawa huko china wanautumia kuunda madawa kibao hata hapo kenya. Zamani yalikuwa mengi kageraNimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa.
Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika?
Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu.
Kuna mtu anayefahamu kama yana soko?
Kama yana soko, nitaipanda mingi.
Yana soko endapo mtu ataamua kufanya kilimo chake?Huu mmea jina nmelisahau ila bonge la deal ni dawa huko china wanautumia kuunda madawa kibao hata hapo kenya. Zamani yalikuwa mengi kagera
Mkuu niliona ya na demand kubwa ila kupitia kwenye mtandao na vipindi vya TV. Fanya research mzee si unajua yale ya sungura wana soko halafu wafuge uone sasaYana soko endapo mtu ataamua kufanya kilimo chake?