Huu ni mmea gani?

Huu ni mmea gani?

Njombe! Kumbe yanastawi hata maeneo ya baridi! Nilifikiri ni mimea ya ukanda wa "semi arid"
Sidhani kama kuna mkoa Tanzania hii hakuna miti hiyo.
Nimeyala Iringa, nimeyaona Dodoma, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Singida, yapo pale kwa Mwamposa Feza Kawe.
 
Ni mmea mzuri sana kwa waathirika unaongeza CD4 sana ukiwa unakunywa kila siku hakuna haja ya ARV
 
Aisee!
Lakini ukiona hakitamkiki ujue si jina lake halisi.
Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihii
 
Aisee!
Lakini ukiona hakitamkiki ujue si jina lake halisi.
Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihii

Yani sehemu ya mwisho kabisa ya intestine na walikuwa na sababu
 
Hayo cactus ndio huyajui?
Kweli watu hamna hata exposure ya ndani ya nchi?
Nenda Kawe pale karibia na Shule ya Feza yamejaa kibao.
Mkuu, kwani ulipokuwa unasoma ulikua unapata mia kwa kila somo?

Hakuna mtu anayejua kila kitu! Nimetembea mikoa mingi Tanzania, karibia yote isipokuwa Mtwara na Lindi pekee, lakini sikumbuki kama nilishawahi kukutana na mmea kama huu. Nimeukuta inayofanana nayo lakini si kama huo.

Labda, nilikopita haikuwepo, au sikuiona kwa kuwa sikuwa ninaihitaji kuiona.
 
Chakula safi sana hiyo ya Wachunga Ng'ombe porini. Ingawa inapaswa ulipasue kwa ustadi maana lina tumiba tudogo tudogo juu ya ganda, ukijichanganya ulimi udungwe kazi unayo.
Pia ukila hilo tunda ni kama pera, mbegu zake mzee zitarejea zimekodoa kodooo.
Kuna watu wanaofanya kilimo chake?
 
Mkuu, kwani ulipokuwa unasoma ulikua unapata mia kwa kila somo?

Hakuna mtu anayejua kila kitu! Nimetembea mikoa mingi Tanzania, karibia yote isipokuwa Mtwara na Lindi pekee, lakini sikumbuki kama nilishawahi kukutana na mmea kama huu. Nimeukuta inayofanana nayo lakini si kama huo.

Labda, nilikopita haikuwepo, au sikuiona kwa kuwa sikuwa ninaihitaji kuiona.
Kuna miti ya kuwa migeni kwa mtu mzima ipo mingi sana. Cactus hii hii ambayo mpaka watu hupanda kama mauwa? Mkuu kubali tu unaexposure ndogo, au pia si mfuatiliaji wa mambo yanayorun dunia.
 
Miaka ya mid 70 tukiwa tunasoma tulikuwa tukiwasikia walimu na wazee waliokuwa na hiyo mimea mashambani mwao wakiyaita furahisha nanihii

Yani sehemu ya mwisho kabisa ya intestine na walikuwa na sababu
Mid 70😀

Kumbe ni mtu mzima halafu unataka itamkwe kimakosa😀

Kwa nini iliitwa Furahisha?
 
Ehe mkuu nimekumbuka! Ila sisi hapo kwenye jina "Mafurahisha" mbele yake palikuwa na jina lingine. sijui ni kwanini waliamua kuyaita hivyo!
Asante kwa kutokuyafuatisha "makosa" ya wahenga!

Hata mimi nilishasikia jina kama hilo nikiwa mdogo, lakini sijui kama yalikuwa ni hayo au yaliyokuwa yanafanana nayo!
 
Nimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa.

Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika?

Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu.

Kuna mtu anayefahamu kama yana soko?

Kama yana soko, nitaipanda mingi.
Huu mmea jina nmelisahau ila bonge la deal ni dawa huko china wanautumia kuunda madawa kibao hata hapo kenya. Zamani yalikuwa mengi kagera
 
Huu mmea jina nmelisahau ila bonge la deal ni dawa huko china wanautumia kuunda madawa kibao hata hapo kenya. Zamani yalikuwa mengi kagera
Yana soko endapo mtu ataamua kufanya kilimo chake?
 
Back
Top Bottom