Huu ni mmomonyoko wa Ardhi?

Huu ni mmomonyoko wa Ardhi?

nyamchele

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,325
Reaction score
1,034
Wataalamu msaada.

 
Hii ni Kagera sehemu gani? Nimesikia Mhaya mmoja anawapa wenzake kuwa hapo ni ishara kuwa imani yenu muimarishe.
 
Sijaweza tambua lugha asili inayozungumzwa wala kusikiliza kwa makini kujua ni sehemu gani ya Tanganyika hiyo?
  • Usalama upo?
  • Ziwa/Mto gani?
  • Ni matokeo ya mvua hizi?

Kila wakijaribu kumfuta MFU, inapigwa ya kufanana nayo!
  • Mara ziwa limejaa
  • Nchi jirani zafurika
  • Kawetele inatembea
  • Arusha wafukiwa
  • Madaraja yamekwenda Somanga Mtama
  • Hidaya

Tusubiri ufafanuzi wa wafizibiliti stadi, watatuambia JIWE alipiga pigaje yote hayo yakatokea, bwawa walishasema!
 
Back
Top Bottom