Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nini mkubwa...Mmeanza tena🙄
Walikula mikumi??Wamevimbiwa nyama za mbuzi.
Ndio maana nikasema wamevimbiwa mshikaki ya mbuzi,si mkuu wa msafara wala kiongozi mwenyewe.sasa wangebinuka mbele huko walikoelekea wangejiteteaje??Walikula mikumi??
Au walipitia Ilovo wakanywa chai yenye sukari nyingi.
Ila gari la kuongozwa kujiongoza lenyewe ni sawa kweli??
Ghafla linageuza na kuliacha gari la Polisi nyuma, siyo sawa.
Kabisa...Ndio maana nikasema wamevimbiwa mshikaki ya mbuzi,si mkuu wa msafara wala kiongozi mwenyewe.sasa wangebinuka mbele huko walikoelekea wangejiteteaje??
Gari za askari huwa mbele na nyuma kwenye msafara hivyo hata ukigeuka.hamna shida mbele kunakuwa na gari ya polisi na nyuma piaKabisa...
Ila wajipange mapema... Siyo ghafla wanaliacha gari la Polisi nyuma.
Sasa Leo walipogeuza ghafla gari lenye milingoti ya bendera ndiyo lilikuwa linaongoza Msafara huku likipiga ving'ora!!Gari za askari huwa mbele na nyuma kwenye msafara hivyo hata ukigeuka.hamna shida mbele kunakuwa na gari ya polisi na nyuma pia
Makonda keshawataja??Na bado,, huku Mange huku Makonda huku ving'ora mpaka mchanganyikiwe,,
Labda wametoka Morogoro mjini kwenda Ifakara kufanya mazoezi ya Msafara maana wiki ijayo mwenge utakuwa huko.Mambo yao waachiwe wenyewe
Wanajiona special kwenye lindi la watu waskini.
Haiba na moyo wa uongozi hawana kabisa.
Ulikuwa Msafara wa kiongozi gani mkuuLabda wametoka Morogoro mjini kwenda Ifakara kufanya mazoezi ya Msafara maana wiki ijayo mwenge utakuwa huko.
Lakini kwa Nini gari la Polisi liachwe nyuma badala la lenyewe ndiyo kuongoza Msafara!!??