Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
2,868
Reaction score
6,453
Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇

IMG_20231201_064456_089.jpg
 
Ombo, ndio lile yule Mheshimiwa alienda kuchukua kule akisema ni dawa ya Corona.

Hilo lina tibu magonjwa mengi.
 
Ombo, ndio lile yule Mheshimiwa alienda kuchukua kule akisema ni dawa ya Corona.

Hilo lina tibu magonjwa mengi.
Hii ni dawa ya wachaga tu..ombo huwa tunaweka kwenye nya hasa mchemsho au supu...ila ni dawa nzuri sana ila usiinywe mara kwa mara.

!
 
Back
Top Bottom