Huu ni mti unaitwaje na unasaidia nini mwilini?

Mosahe

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
67
Reaction score
33

mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
 

Madereva wengi na walinzi hasa wa migodini hupenda kutafuna mizizi ya mmea huu, unafaida gani nami nianze kutafuna?
 
Mkongoraa bablai

Wamasai wa chuga wanayo sana, inasafisha kibofu na damu, pia ina ladha flan nzuri japo inawasha mdomoni.

Haiongezi nguvu za kiume kama wengi wanavyodhani.

Ila wanayo ya kuongeza nguvu...unasugua K mpaka utakapoamua kumwaga mwenyewe, cha muhimu ule vizuri kabla ya kutumia

Good time jomba.
 

mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
Hii kitu inaitwa MWICHA(ng'wicha) famous name in lake zone

Nakumbuka enzi za utoto mom anatuagiza mnakuja mnavuta kama gari

Ilikuwa inakatwakatwa then inachemshwa maji yake wanaogeshewa watoto sijui hata walkuwa wanatibiwa nini.
 
Kuna pombe ya kienyeji inatengenezwa kwa tunda la huo mti pamoja na vitu vingine
Kuna shampoo pia inayotengenezwa kutoka kwa tunda la (sausage)
 
Mdodoki..

kazi yake
-Kupunguza idadi ya vibamia duniani (kazi yake kubwa)
-Kujisugua wakati wa kuoga
 
IPO wapi hiyo ya kusugua k ntaipataje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…