Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp mwenyewe akiukata mti mapemaNiliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.
Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
magome yake ni dawa nzuri sana ya meno yanayouma![]()
mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
Umepatia unaongeza damu pia ukichemshwaaHii kitu inaitwa MWICHA(ng'wicha) famous name in lake zone
Nakumbuka enzi za utoto mom anatuagiza mnakuja mnavuta kama gari
Ilikuwa inakatwakatwa then inachemshwa maji yake wanaogeshewa watoto sijui hata walkuwa wanatibiwa nini.
Hahaha ni kweli aisee kigelia huo...unatibu na vidondaKwa kizungu unaitwa sausage tree (Kigelia africana)
Inasemekana magamba yake au tunda likichemshwa ni dawa kwa ajili ya matatizo ya tumbo na baadhi ya magonjwa ya zinaa
Nahisi huo ni bado mdogo kbs.Embu weka mizizi ya huo mti nione kama ni mkongoraa
Nenda kwa wamasai wa ngaramtoni, watakupa kwanza ya kuharisha na kutoa uchafu wote tumboni then itafuata hiyoIPO wapi hiyo ya kusugua k ntaipataje mkuu
Sio mkongoraa huuuHuo unaitwa mkongoraa mkuu
Mkuuu mkongo haupo hivo ,na radha chungu kinoma hauja uzoea unaweza shindwa utumiaa...Mkongoraa bablai
Wamasai wa chuga wanayo sana, inasafisha kibofu na damu, pia ina ladha flan nzuri japo inawasha mdomoni.
Haiongezi nguvu za kiume kama wengi wanavyodhani.
Ila wanayo ya kuongeza nguvu...unasugua K mpaka utakapoamua kumwaga mwenyewe, cha muhimu ule vizuri kabla ya kutumia
Good time jomba.
Hahaha...mkuu mimi nilianza kutafuna mkongoraa nikiwa ngayoni.Mkuuu mkongo haupo hivo ,na radha chungu kinoma hauja uzoea unaweza shindwa utumiaa...
HahahahahaaNiliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.
Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaitwa mjungunti, hilo tunda kidume akilinganishia msaliboko wake utaongezeka mpk ufikie kiwango hicho..!Mdodoki
mkuu utakua mtu wa nyumbaniNiliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.
Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jina sijui.ila kuna watu wanatumia hayo matunda yakiwa madogo.wana chanjia mashine.kadri tunda linavyozidi.ndo mashine inaongezeka.imani yao lakini.![]()
mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
Ukisahau tunda unaamua kukata matunda yote kwenye mtiNiliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.
Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]