Huu ni mti unaitwaje na unasaidia nini mwilini?

Huu ni mti unaitwaje na unasaidia nini mwilini?

Nijuavyo ayo matunda yake wakati mdogo niliyabeba sana kama mtoto(mdoli) wakuchezea nashangaa now wanasema eti ni dawa yakuongeza tako na hips[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Niliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.

Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vp mwenyewe akiukata mti mapema
 
Huku kwetu unaitwa mwicha wajawazito wanatumia sana unalimenya unachemsha unakunywa wanadai linaongeza damu
 
9bec5b6539d71d4958c7c1bfca641a74.jpg

mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
magome yake ni dawa nzuri sana ya meno yanayouma
 
Hii kitu inaitwa MWICHA(ng'wicha) famous name in lake zone

Nakumbuka enzi za utoto mom anatuagiza mnakuja mnavuta kama gari

Ilikuwa inakatwakatwa then inachemshwa maji yake wanaogeshewa watoto sijui hata walkuwa wanatibiwa nini.
Umepatia unaongeza damu pia ukichemshwaa
 
Kwa kizungu unaitwa sausage tree (Kigelia africana)
Inasemekana magamba yake au tunda likichemshwa ni dawa kwa ajili ya matatizo ya tumbo na baadhi ya magonjwa ya zinaa
Hahaha ni kweli aisee kigelia huo...unatibu na vidonda
 
Huu kwetu tunaita mvungwe na katika jamii yetu,vijana wengi wa kiume wanautumia kuongeza maumbile ya uume kwa kujikata chale uume na hayo matunda yake ambayo yanaitwa mavungwe.
 
Huo mti tunda lake hutumika kuongeza damu mwilini kwa mgonjwa mwenye shida hiyo pia na magonjwa ya bp inatibu.
 
Mkongoraa bablai

Wamasai wa chuga wanayo sana, inasafisha kibofu na damu, pia ina ladha flan nzuri japo inawasha mdomoni.

Haiongezi nguvu za kiume kama wengi wanavyodhani.

Ila wanayo ya kuongeza nguvu...unasugua K mpaka utakapoamua kumwaga mwenyewe, cha muhimu ule vizuri kabla ya kutumia

Good time jomba.
Mkuuu mkongo haupo hivo ,na radha chungu kinoma hauja uzoea unaweza shindwa utumiaa...
 
Mkuuu mkongo haupo hivo ,na radha chungu kinoma hauja uzoea unaweza shindwa utumiaa...
Hahaha...mkuu mimi nilianza kutafuna mkongoraa nikiwa ngayoni.

Na zaidi ikishaota mpaka kwenye fence yetu...hivyo nikawa nakula hizi zilizokomaa zinayouzwa barabarani na siku nyingine nakula mbichi kabisa na majani yake.

Hilo la juu ni mdodoki lakini hiyo ya chini ni mkongoraa unaoanza kukua.
 
Niliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.

Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahahaa

Ukisahau....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Niliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.

Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu utakua mtu wa nyumbani
 
9bec5b6539d71d4958c7c1bfca641a74.jpg

mara nyingi naonaga watu wanautumia ila kwa mwenye kujua naomba anigawie ufahamu.
Jina sijui.ila kuna watu wanatumia hayo matunda yakiwa madogo.wana chanjia mashine.kadri tunda linavyozidi.ndo mashine inaongezeka.imani yao lakini.
 
Niliwahi sikia ukichanja tunda lake ukajichanja Kwenye uume nao unaanza kujua kadiri ya tunda linavyokua.

Ukifikia size unayoitaka unaenda kulikata hilo tunda.
Kiboko yake usahau hilo tunda sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukisahau tunda unaamua kukata matunda yote kwenye mti
 
Aiseee nimetoka kutumia sio mda!
Ukinywa unakojoa sana na inaongeza damu mwilini
 
Back
Top Bottom