Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

rufino

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
34
Reaction score
13
Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
 
Attachments

  • Kenchi2.mp4
    8.5 MB
Wakuu niko nje ya mada , kwa wenye uelewa wa ujenzi ! Niko na picha ya nyumba ile view ya nje naipenda sana nimekua na ile picha toka utotoni niliibandika chumbani kwangu

Je fundi anao uwezo wa kutengeneza ramani bila kuathiri ule mwonekano kama wa kwenye picha nataka ifananie vile vile kwa nje?
 
Kwanini usianzishe uzi wako mpya na kuweka hiyo picha ya nyumba yako?
 
Kila siku kunabuniwa mtindo mpya na mrahisi wa kufanya kazi za ufundi , sio kitu kigeni hicho.
 
Wakuu niko nje ya mada , kwa wenye uelewa wa ujenzi ! Niko na picha ya nyumba ile view ya nje naipenda sana nimekua na ile picha toka utotoni niliibandika chumbani kwangu

Je fundi anao uwezo wa kutengeneza ramani bila kuathiri ule mwonekano kama wa kwenye picha nataka ifananie vile vile kwa nje?
Hata mimi nimeipenda hiyo ramani, iko poa sana.
 
Kila siku kunabuniwa mtindo mpya na mrahisi wa kufanya kazi za ufundi , sio kitu kigeni hicho.
Sijakuelewa. Kipi sio kigeni matumizi ya truss plates? Hiyo nakubaliana nawe.
Mwaka 1955 ndo viligunduliwa. Vinatumika miaka mingi nchi nyingi.
Swali langu lilikuwa kama matumizi ya truss plates ni common hapa nchini. Kama nikitaka zitumike kwenye mradi wangu sitapata shida ya kupata hivyo vifaa au kuwapata mafundi wanaojua kuvitumia.
 
Wakuu niko nje ya mada , kwa wenye uelewa wa ujenzi ! Niko na picha ya nyumba ile view ya nje naipenda sana nimekua na ile picha toka utotoni niliibandika chumbani kwangu

Je fundi anao uwezo wa kutengeneza ramani bila kuathiri ule mwonekano kama wa kwenye picha nataka ifananie vile vile kwa nje?
Lete kazi hapa mkuu
 
Back
Top Bottom