Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family.

Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo neno baby awaachie ma under ground yeye alipofikia aachane na hilo neno.

Kuita Wasafi Classic inatosha kabisa hilo neno baby kwa kweli kwa sasa aachane nalo kabisa.
 
Wee kumbe ndio najua leo kirefu cha wcb asee nilikuwa sijui kabisa kumbe mwishon ni beibi ooh asantee dj tuletee ngoma ya konde boy "matatizo"
 
Mkuu Una hoja ya msingi

Ila pia lazima tukubali kuwa WCB kama brand name ishaenda Sana world wide ,me nafkir ibaki tuu WCB - Aache kulitaja kiurefu
 
Zamani hii kumbe ilikuwa CRDB BABY
Crdb baby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini isiwe

"Wasafi Clasic Bandari" ili kifupi kibaki kuwa wcb hapo hapo akipigania maslahi ya bandari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa hzi comment zenu inaonekana weekend yenu imeenda poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…