Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

Nadhani kisheria now days wanaotumia Wasafi classic Limited nadhani Sina hakika[emoji41]
 
Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family.

Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo neno baby awaachie ma under ground yeye alipofikia aachane na hilo neno.

Kuita Wasafi Classic inatosha kabisa hilo neno baby kwa kweli kwa sasa aachane nalo kabisa.
Ushajiuliza kwa nini Tigo wameinunua Zantel, ila mpaka sasa Tigo wameamua kuliacha jina la Zantel hivyo hivyo.

Kaka kubrand jina sio swala dogo.
 
Yeah i agree with you or we can change the meaning to " WASAFI CLASS BRAND " . I bet lt will still sound good too 😊
 
Back
Top Bottom