Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unatafuta mrembo mzuri humu jf alafu mnatafuta pori huko msituni ambapo hakuna binadamu yeyote zaidi ya wanyama na ndege, mnaji-lock down wenyewe hata kwa mwaka mzima, huku mkila mizizi, matunda, majani na kufurahia uumbaji. Huko hakuna kuvaa mask, hakuna hofu ya maambukizi n.k Naona itakuwa vizuri zaidi....