Huu ni muda wa kuishi kama nyakati za Adam na Hawa

Huu ni muda wa kuishi kama nyakati za Adam na Hawa

Kama mmeshafika, huko hakufai tena;kwa sababu tunataka sehemu ambapo hakuna binadamu
Binadamu sisi watukutu.... seheme pekee utakayoenda usikute mtu kaburini tuu maana kila mtu na lake😂😂😂😂
 
Binadamu sisi watukutu.... seheme pekee utakayoenda usikute mtu kaburini tuu maana kila mtu na lake😂😂😂😂
hatari sana,kama ni hivyo hakuna pa kukimbilia...bora wale walionunua visiwa vyao baharini
 
Unatafuta mrembo mzuri humu jf alafu mnatafuta pori huko msituni ambapo hakuna binadamu yeyote zaidi ya wanyama na ndege, mnaji-lock down wenyewe hata kwa mwaka mzima, huku mkila mizizi, matunda, majani na kufurahia uumbaji. Huko hakuna kuvaa mask, hakuna hofu ya maambukizi n.k Naona itakuwa vizuri zaidi....
True,noted mkuu
 
Back
Top Bottom