"Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu (kamtaja member) Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.Ametangaza bandiko lake vizuri kwamba service yake inafanyika ndani ya Istanbul. Utafikaje huko?? That's none of his/her business
umechelewa kuona post, imekua updated baadayeHawa watu ni wa ajabu sana.
Ndio maana wananchi wa nchi hii wataendelea kuburuzwa milele. Mijitu iko so negative
Inakera sana
NA WASHAKUJA AISEEHaijui jf huyu 😂😂😂
Ngoja wazee waje wampige maswali 2,3
Asikimbie tu
Ova
AISEEE HOW IS THIS POSSIBLE?mkuu una hofu.usikute md wala staff wa hi kampuni hajawahi kutalii popote
MMMMHJamaa atakuwa tapeli, subiri
Members humu aminiaaNA WASHAKUJA AISEE
NYUMBANI KWA WAFIKIRIAJI WAKUBWAMembers humu aminiaa
Wadau humu usiwachukulie poa
Jf syo fb Hahaha
Ova
Maana unaweza pigwa maswali ukala kona mwenyeweNYUMBANI KWA WAFIKIRIAJI WAKUBWA
Mkuu kwa mtu aliyewahi kusafiri overseas hayo siyo maswali ya kuuliza! Na hata kama mtu hujawahi vitu vingine si unajiongeza tu mwenyewe hivi kweli utegemee laki tano ikainclude hadi ticket ya ndege go and return hata kama mtu hajaelezea vizuri?"Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu (kamtaja member) Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.
Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?"
Watu walivombana bana maswali ndiyo akafunguka vizuri, kwamba hiyo laki 5 haihusu nauli wala vipimo vya COVID19. Bandiko lilikua halijajikamilisha ila wewe ukawa unaleta ujuaji.
Watu wapo kupinga tuMkuu kwa mtu aliyewahi kusafiri overseas hayo siyo maswali ya kuuliza! Na hata kama mtu hujawahi vitu vingine si unajiongeza tu mwenyewe hivi kweli utegemee laki tano ikainclude hadi ticket ya ndege go and return hata kama mtu hajaelezea vizuri?
Sasa amekuja hapa kuwaandikia walio safiri overseas peke yao?Mkuu kwa mtu aliyewahi kusafiri overseas hayo siyo maswali ya kuuliza! Na hata kama mtu hujawahi vitu vingine si unajiongeza tu mwenyewe hivi kweli utegemee laki tano ikainclude hadi ticket ya ndege go and return hata kama mtu hajaelezea vizuri?
Mkuu umeisoma comment yangu Yote vizuriSasa amekuja hapa kuwaandikia walio safiri overseas peke yao?
naamMaana unaweza pigwa maswali ukala kona mwenyewe
Ova
We do agree, thanks for being kind.Fine,
Sijasema she should use your package. That's her choice.
Just to put records clear.
"Kiukweli tatizo sio kibunda bali ni taarifa mkuu (kamtaja member) Watanzania wengi hawajui kuwa baadhi ya safari za kutalii nje ya nchi ni cheap zaidi kuliko hata za hapa ndani.
Mfano katika Msimu huu zipo packages za kwenda Uturuki na gharama inaanzia laki 5 tu ($230) kwa siku 4 hadi 5. Utashindwaje hapo?"
Watu walivombana bana maswali ndiyo akafunguka vizuri, kwamba hiyo laki 5 haihusu nauli wala vipimo vya COVID19. Bandiko lilikua halijajikamilisha ila wewe ukawa unaleta ujuaji.
Hujajibu pm zanguMkuu Hadrianus, sisi tulichofanya ni kuelezea package tulizonazo katika msimu huu wa Sikukuu. Na ndizo bei zake wala hatujadanganya lolote.
Kuhusu kubanwa maswali wala hatujaichukulia tofauti, tumetoa ufafanuzi kwa kadri maswali yalivyokuwa yanaulizwa. Ndivyo namna Jukwaa linafanya kazi. Hatubandiki tu na kuondoka.
Karibu tukuhudumie. Umependa package ipi kati ya tulizochapisha tukuandalie?
2. ZANZIBAR PACKAGE
Hii ya nyumbani kabisa.
View attachment 2089443
Gharama ya Package ni Dola 898 sawa na takribani Milioni 2 tu.
Yaliyomo:
1. Utafikia Hoteli ya Melia yenye hadhi ya nyota 5 na utalala hapo kwa siku 3 mfululizo.
2. Chakula ni bure asubuhi, mchana na usiku.
3. Siku nzima utatembezwa katika Mji wa Kale wa Stone Town pamoja na Kisiwa cha Prison Island.
4. Siku nyingine (nusu siku) utaenda kufanya utalii wa kutazama jua linavyozama kwa view nzuri.
5. Usafiri bure kurudi Airport au Bandarini
NB: Hii imeanza Januari 7 na mwisho wake ni Februari 28, 2022.
Gharama za usafiri kutoka ulipo kufika Zanzibar ni juu yako. Hii kwa watu wa maeneo jirani kama Dar na Tanga wataichangamkia sana. Au wote waliopo maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki hawatatumia gharama kubwa ya nauli.
Mawasiliano: 0757 212 122 / 0737 555 522
Karibuni.