Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
HahahaVumilia tu mkuu, pengine amekuweka pending akiachwa atakufata....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaVumilia tu mkuu, pengine amekuweka pending akiachwa atakufata....
NaamWewe ni maskini kweri.
Kuendelea hivyo sio tu kufa bali utazaa maskini pia.
King of simpsHuyu mdada toka nimemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni-enjoy uzuri wake; nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu.
Ananaambia nisubiri kwanza ananichunguza. Khaaa! ananichunguza nini miaka 3? Mpaka nawaza, je ananichunguza kama ntaota mkia au mapembe?
Ukimchunguza sana bata humli. Yeye ananichunguza ili iweje? Zawadi zangu hazichunguzi, anapokea tu; pesa hachunguzi natoa wapi, anapokea tu.
Nmemuuliza: "We fulani, ina maana ni bikra?" Ananambia we subiri tu utaona. Simwelewi nimechoka, kama mtu kuwa chini ya uchunguzi ndo inakuwa miaka 3.
Anataka nini? Natamani kumwambia alale mbele tu, napiga moyo konde kuwa angalau siku moja nipoze moyo wangu maskini.