Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma Jiji safari hii wako moto sana. Wakiendelea kujipima nguvu na hivyo vitimu vya Second League Division watakiona cha moto hapo Septemba, 2024.Kusuka upya kwenyewe kumezidi banaa..!! ndo mkacheze na timu ya ligi dara la pili kweli..!!! Siyo kipimo kizuri hicho cha pre-season..!!
Nini cha ajabu?Hiyo ni daraja la pili ni sawa na Mawenzi Market au Mbinu fc
Halafu Kocha wa Simba amesema bado hana timu ya kucheza dakika 90.Wamecheza dakika ngapi
Mbona goli la Okejepha limefungwa dakika ya 120?
Halafu Kocha wa Simba amesema bado hana timu ya kucheza dakika 90.
Kumbuka mwaka jana, Simba ilikuwa inacheza na CSKA Moscow ya Russia (timu ya UEFA Champions League hii), Yanga ilikuwa inacheza na Friends Rangers ya ManzeseSimba imecheza na team ya Madrasa huko Egypt.
Yanga tumecheza na Ausburg kutoka Bundasliga.
Hivi huko Egypt mbona Kuna team nyingi kwanini msijipime na Al Ahly, Pyramid, future, n.k ndo mkacheza na team ya chuo cha Madrasa
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu
Wewe unataka wafunge dakika ya ngapi?Wamecheza dakika ngapi
Mbona goli la Okejepha limefungwa dakika ya 120?