Huu ni uchambuzi wa michezo au uchawi na husda?

Inabidi kuwa makini kwenye kutype naona Haji alikuwa anamaanisha wakupe kazi ila kidole kikamsaliti ikatokea wakuoe
 
Haji mjanja sana eti wakuoe alaf kajifanya kakosea😂😂
 
Hivi Mbona hakuna nchi Africa imewahi kuchukua kombe la dunia au kufika fainali kama uchawi ndio unacheza mpira?

Yaani niliuliza swali hilo jana pia, Africans aisee mind set zetu sijui vipi, kuna mtu akasema eti kwasababu wazungu hawarogeki [emoji23][emoji23]
 
Kitenge si ndio alimtambulisha Morison, ni kakanjanja fulani ambacho kanajifanya kanaweza kushindana na brand ya Simba. Huyu pia anawakilisha wale aliowasema Eymael
 
Reactions: Lee
Kitenge ata akiwa redio huwa anaonesha haipendi simba kwa mazuri ...

Kama aliripotii kutoka marekani kisa simba imekosea kidogo kwenye chapisho lao la kiingereza akaifanya habari kubwa
 
Kitenge si ndio alimtambulisha Morison, ni kakanjanja fulani ambacho kanajifanya kanaweza kushindana na brand ya Simba. Huyu pia anawakilisha wale aliowasema Eymael
Yule nasikia yupo kwenye payroll ya timu moja kubwa hapa nchini, hivyo yupo tayari kujidharilisha kwa namna yoyote ile
 
Naanza kuamini kuwa huyu kijola ni biriani.Hata hizo safari zake za unyamwezini kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.
 
Ishu ni kwamba simba ilicheza mpira mzuri na kila mtu akiona lile biriani la kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…