Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

Huu ni Udhalilishaji anaofanyiwa Rais Samia. Swali ni amelazimishwa au ameridhia?

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772
President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan as "a special tour guide"

BB34D355-710F-4488-9E33-99C365A42AF3.jpeg
 
Hakuna udharirishaji hapo. Hizo ni kati ya character alizochagua kuzicheza katika hiyo series ya 'Royal Tour'.
Kumbuka, tour guide ni kati ya segment zinakamilisha sekta ya utalii.
 
Sijaona la kushangaza
Rais kufanya kazi ya tour guide sio jambo la kushangaza? Waziri Wa Malisili Na Utalii ana kazi gani?

Kwa kukutoa ujinga uliokua nao;

● Rais kakwapua mamlaka na kazi ya Waziri Wa Maliasili & Utalii.

● Ofisi Ya Rais imegeuzwa kuwa Wizara Ya Maliasili & Utalii.

Rais anageuzwa kuwa "WAZIRI" badala ya "RAIS".
 
Social distance vipi?
Au Corona ni comedy ya kuvuna fedha ya mzungu?
 
Back
Top Bottom