Hakuna udharirishaji hapo. Hizo ni kati ya character alizochagua kuzicheza katika hiyo series ya 'Royal Tour'.
Kumbuka, tour guide ni kati ya segment zinakamilisha sekta ya utalii.
Hiyo kazi anaipenda, hata akiwa Tegeta kuwahutubia wananchi akielekea Bagamoyo aliwaambia wamuache awahi kwani yeye ndie tour guide, tena alitamka hayo kwa bashasha.