Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

Ushawai kumsikia akimtaja YESU au aki recite Bible? Huyu mbona sio Mkristo, ni Motivational Speaker! Kusajiri taasisi za dini kunawasaidia wapigaji kukwepa kodi
Ni nani mwenye haki ya kusema huyu ni mkristo au hapana? Kama yeye kaisajili taasisi yake kama ni ya Kikristo wewe ni nani utoe hukumu?
 
Mjadala wa Mkataba wa DP World umetuchanganya, tumepoteana. Ngoja tuburudike na akina da........
Nabii yuko sahihi ili aturudishe katika akili zetu za kawaida.
 
Video ya wadada wakiwa wanapita mbele yaa nabii mkuu na mawazi yasio ya heshima na yasiyostahili kwenye madhabahu ya Mungu.

Kuna haja ya kufungia baadhi ya huduma na kuweka vigezo vikali kwa wanaoongoza huduma hizo.

Shetani yupo duniani.

View attachment 2685176
Kwahyo unataka afungiwe huduma yake!?
 
Back
Top Bottom