Huu ni Udhalilishaji wa ' Vyeo' vya watu..

Kwa sasa Tanzania Gaidi namba 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe.
kiongozi wa kisasa aliye tumia chama kujificha na kuhalalisha vitendo vya kigaidi.
 
Kwa faida ya wote.

1. Joseph Kony kiongozi wa Lord's Resistance Army. Imagine na ukorofi wa Museveni, huyu bwana anapambana nae miaka nenda rudi uko msituni

2. Osama bin Laden mwasisi wa Al Qaeda. Huyu anajieleza

3. Sheikh Abu Bakhr al-Baghdadi. Alianzisha Islamic States and the Levant (ISIL) au Islamic States of Iraq and Syria (ISIS) au kifupi Islamic States (IS). Alijilipua mwaka juzi kama sikosei, sijui ni shambulizi la Urusi au US lilifanya ajiue ili asikamatwe.

4. Ali Godane aliyekuwa kiongozi wa Al Shabaab. Aliuwawa mwaka 2014 na drone strike ya US Airfoce

5. Abubakar al-Shekau kiongozi wa muda mrefu wa Boko Haram. Inasemekana ameuwawa mwaka huu na wanamgambo wa Islamic States wa Afrika Magharibi ambao ni wapinzani wa Boko Haram. Serikali ya Nigeria ni wapuuzi sijawahi ona, eti jeshi lao halikufahamu halipo alafu kakundi kalikoanzishwa sijui 2018 hakana hata ndege wala kifaru kalipambana nae alikojificha

6. Huyu inawezekana hata bunduki hajawahi ishika tukiachana na vibastola
 
Tunataka tuweke uzani sawa kati ya mbowe na wale waislamu waliopewa kesi za ugaidi walioko kwenye magereza ya kisongo,segerea na butimba.
 
Tanpol ingetosha kusema tumemkamata mbowe alikuwa anahamasisha katiba mpya wangeeleweka kuliko kusema ugaidi. Gaidi gani linakamatwa kwenye hotel ya kifahari likila bata? Halafu haliko tension kukamatwa !
 
Samia ameharibu mapema sana.
Yani ameanza kusemwa vibaya mapema sana na vyombo vya kimataifa. Kwakweli kama mwanamke hatukutarajia atumie approach za kihuni namna hii, heshima na utu wa mwanamke unapotezwa na huyu mama.

I think akiendelea kusikiliza ushauri wa wanaume ili afanye kazi basi ataondoka madarakani akiwa mwanamke wa kwanza kuwa dikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…