Huu ni Udhalilishaji wa ' Vyeo' vya watu..

Huu ni Udhalilishaji wa ' Vyeo' vya watu..

Yani ameanza kusemwa vibaya mapema sana na vyombo vya kimataifa. Kwakweli kama mwanamke hatukutarajia atumie approach za kihuni namna hii, heshima na utu wa mwanamke unapotezwa na huyu mama.

I think akiendelea kusikiliza ushauri wa wanaume ili afanye kazi basi ataondoka madarakani akiwa mwanamke wa kwanza kuwa dikteta.
Asivyokuwa na akili kaanza na ugaidi.. inasikitisha sana.
Sijui ccm wataharibu hii nchi mpka lini!
 
Back
Top Bottom