Yani ameanza kusemwa vibaya mapema sana na vyombo vya kimataifa. Kwakweli kama mwanamke hatukutarajia atumie approach za kihuni namna hii, heshima na utu wa mwanamke unapotezwa na huyu mama.
I think akiendelea kusikiliza ushauri wa wanaume ili afanye kazi basi ataondoka madarakani akiwa mwanamke wa kwanza kuwa dikteta.