huu ni ufisadi wa elimu halmashauri ya bunda.

huu ni ufisadi wa elimu halmashauri ya bunda.

kasahunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
215
Reaction score
33
ufisadi ninaouzungumzia ni kwa kumpa zawadi mkuu wa shule ya sekondri ya bunda ya kuwa mfanyakazi bora wakati matokeo ya mtihani kidato cha nne kuna ziro 133 na hakuna hata division one. je ufanyakazi bora unatoka wapi?.
 
Pengine asingekuwa huyo mkuu watahiniwa wote wangeweza kupata zero. Pia utendaji wa kazi wa mwalimu unapimwa kwa vigezo vingi siyo kutumia matokeo ya wanafunzi tu.
 
Back
Top Bottom