huu ni ugnjwa gan?

huu ni ugnjwa gan?

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu sana ..kuna mtu aliniambia ni dalili za brain tumour ni kweli?nisaidieni mana ateseka sana
 
Ina maana hajaenda hospital yeyote.???!!!..................Mpeleke hospital please
 
anasema hospital walimwambia ni kipanda uso ndo chmsumbua..lakini kadri siku zinavoenda ndo chamsumbua zaidi
 
Back
Top Bottom