Huu ni ugonjwa au ni tatizo gani

Huu ni ugonjwa au ni tatizo gani

Aisee, una uhuru na sehemu za siri za mdogo wako, ulianzaje kuomba umkague?

Anyway, nenda hospital ukachekiwe, acha kuuzunguruka mbuyu.
 
Aisee, una uhuru na sehemu za siri za mdogo wako, ulianzaje kuomba umkague?

Anyway, nenda hospital ukachekiwe, acha kuuzunguruka mbuyu.
Kongosho una akili wewee!!! Hakyanani ungekuwa mitaa ya karibu ningekununulua soda!!!.......mkuu fuata ushauri ..wahi hosipitali..
 
Back
Top Bottom