Huu ni ugonjwa au style ya kujistarehesha??

Huu ni ugonjwa au style ya kujistarehesha??

ENGINE CONTROL

Senior Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
136
Reaction score
28
Wataalam kunakitu najiuliza sipati majibu.

Nimekuwa kila nikikojoa huwa najisikia raha sana kwenye mrija wa uume unaopitisha mkojo.

Pindi nikojoapo mkojo huwa unanistarehesha sana na kunisisimua kiasi kwamba raha niipatayo ni kama ile ya mwanaume pindi akiwa katika mechi anapokaribia/tafuta kufunga gori kiasi kwamba raha ya msisimuko huo hudum kwa mda hata wa dk nzima hata kama nimemaliza kukojoa.Hali hiyo imenifanya nivutiwe sana na kujisaidia haja ndogo.

Je huu waweza kuwa ugonjwa??
Na kama siyo ugonjwa hali hii husababishwa na nin??
 
Hahahaha!
Kama ni ugonjwa nadhani utakuwa wa akili.
Ngoja jf psychiatrician aje.
 
kama huna magonjwa ya zinaa sijui labda itakuwa ujaduu muda mrefu..
 
Psychological case!
Kama umri umefika tafuta demu, ikibidi oa kabisa.
Kama tayari ushaoa na bado una hali hiyo, nenda kwa mtaalam wa saikolojia.
Matatizo kama haya ni mengi,
kuna wengine wakiona hata ch*pi ya kike imeanikwa bafuni wanajisikia raha hadi wanasimamisha.
 
case kama hii nimeshaipata hapa ofisini ss upande wa pili ni hivyo hivyo au?
tiba ni juice ya pili pili.....kwa upande wa pili lazima iwe tete e tete...
 
Hii nayo kali!!
Nadhani tiba ipo. Tuwaachie wataalamu watatoa majibu mazuri.
 
Angalia usije ukajipa mimba.
 
Psychological case!
Kama umri umefika tafuta demu, ikibidi oa kabisa.
Kama tayari ushaoa na bado una hali hiyo, nenda kwa mtaalam wa saikolojia.
Matatizo kama haya ni mengi,
kuna wengine wakiona hata ch*pi ya kike imeanikwa bafuni wanajisikia raha hadi wanasimamisha.

mkuu ngoja nifanye mpango nijitafutie kadem ni toe vigonela halafu tuone kifuatacho.Maana ni kitambo sana sija duuu
 
mkuu ngoja nifanye mpango nijitafutie kadem ni toe vigonela halafu tuone kifuatacho.Maana ni kitambo sana sija duuu

kumbe ulikua na majibu yako na sasa unataka kuchukua hatua so ulitaka ushauri wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom