Huu ni ugonjwa au?

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
32,406
Reaction score
55,148
Ndugu wote natumaini hamjambo.

Naombe tuchangie hili kuna tatizo nimeliona kwangu baada ya kutumia cell phone kwa mda, Paja lina tetemeka (vibrate) kama kwamba kuna simu mfukoni.

Je, wenzangu limewatokea hilo?

Hebu tujiulize kama ni syndrome na kuwa na madhara baadae I mean uzeeni ina maana tutakuwa tunatembea tofauti na wazee wa zamani?

Wenyewe wametumia bakora Ku balance mwili sasa sisi tutatumia nini?

Maana sipati picha ukianza kutoa direction uka vibrate mwili mzima.
 
Ni vizuri kutokuweka vibration.

Unaweza ku paralyze hata mambo huko kwenye picchu, hiari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…