Kidogo Nina tatizo kwa mtoto wa miaka 4, Kuna muda macho Yana mwasha ,yanakua mekundu , kama unavyoona kwa picha,naomba kufahani ni ugonjwa Gani au hali gani.
Hio ni allergy ya macho ukileta masihara mtoto atakua haoni, kama upo Dar mpeleke hospitali ya ekenywa magomeni kuna vitu hatotakiwa kula kwa muda fulani...na atapewa dawa fulani...