Huu ni ugonjwa gani na matibabu yake ni yapi msaada jamani

Huu ni ugonjwa gani na matibabu yake ni yapi msaada jamani

Napenda kujua kidole kinaendeleaje?

km hujapona tafadhali twanga kitunguu swaumu kisha pakaa kwenye kidolr usiku na usikichubue. pole sana..!
Shukran sana kwa msaada wako tutafanya ivo
 
Back
Top Bottom