HUU NI UGONJWA GANI NA TIBA YAKE SAHIHI NI IPI

Mosahe

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
67
Reaction score
33
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
 
kapime Urine kaka
 
Wewe unaweza usichepuke ila mwenzio akachepuka so njia rahisi na ya uhakika zaidi ni kwenda hospital kwa ajili ya vipimo na baada ya kugundua tatizo upate dawa stahiki.
 
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
Mkuu tafadhali wahi hospital ,, wanaume huchelewa sana kuonyesha magonjwa halisi hususan Hays magonjwa ya STDs so make sure unawah hospital ....unaweza ukawa hujachepka lkn mwenzako akawa kakupoteza au kama umepanga suala LA kuchangia choo na mabafu !! Nenda hospital fasta.
 
Wahi hospital mkuu inaweza kuwa magonjwa ya ngono umeletewa na huwa yanaenda sambamba na ngwengwe hayo.
 
Kuna magonjwa mengine yanakuwa ndani ya njia ya mkojo na wala huwezi ona Dalili yeyote! Muhimu nenda hospitali Bro...
 
Nenda hospitali kapime damu na mkojo. Fanya haraka usije ukapoteza watoto w baadae.
 
Muwe na maamuzi ya kwenda hospitali haraka ...yaan ww miezi miwili upo tu unaskilizia alafu baada ya kwenda hospital unakuja jf .....shauri yako
 
Kama hukuchepuka hata mara moja mama mwenye nyumba kapata mpangaji mchafu wahi hospitali usisahau kwenda Na wife
 
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
uti hiyo
 
Kama hujachepuka, KE yako imechepuka!
 
Back
Top Bottom