Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapime Urine kakaMimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
Mkuu tafadhali wahi hospital ,, wanaume huchelewa sana kuonyesha magonjwa halisi hususan Hays magonjwa ya STDs so make sure unawah hospital ....unaweza ukawa hujachepka lkn mwenzako akawa kakupoteza au kama umepanga suala LA kuchangia choo na mabafu !! Nenda hospital fasta.Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
uti hiyoMimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
Kama hujachepuka, KE yako imechepuka!Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.