Huu ni ugonjwa gani?

mkuu pole sana hiyo ni warts na dawa yake kama sikosei ni dosal kuna rafiki yangu mmoja ulishampataga tulipataga dawa pale hindu mandal hosp.lakini haikuwa rahisi kuzipata maana madaktari walikataa ikabid jamaa avuwe nguo ainame awaonyeshe ndo wakakubali kutupatia hizo dawa.
 

Duuh!!!
 
Duuuh. Mkuu pakaga mafuta hata makalio. Kalio gumu kama gome la mwembe.


Mengineyo ngoja wausika waje.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Warts Hizo Nenda Pharmacy kanunue Dawa inaitwa Podosal

Mara Nyingi Vinasababishwa na papiloma Virus(HPV).. kwa Inawezekana ulitembea na Mwanamke Ambaye Ameshaambukizwa HPV

Hiyo dawa inatibu genital warts zozote zile?
 
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
[emoji102]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwaiyo unataka kusema wanaume wamemnaniliu afu wakamuambikiza hiyo madude?

Ndio maana nimeuliza? Maana HPV hazipatikani kwa vitu....sasa Ingekuwa kwa Mbele nisingeuliza....
 
Mtu anapokuja na tatzo serious tuache utani...sikuwa na jua kuwa kuna ugonjwa unaitwa-warts,hongera sana Mkuu kwa ku-share nasi;hii Dunia hakuna mwenye guarantee leo uko poa kesho uko noma hivyo ndivyo maisha yalivyo!
 
no hii sio bawasili bawasili ni hemoroids inflamation huu ugonjwa ni wart unasababishwa na human papiloma virus kutokana na sababu hizi kutumia public shower,working with affected meat,low immunity N.K

Aiseee
 
Ni Warts. Nenda hosp daktari akuandikie dawa then watu wa pharmacy wata-compound jelly au ointment. On applying it itakuwa clear. Please observe njia zilizopelekea tatizo hilo na uziepuke. Ukienda hosp omba na ushauri, utapata suruhisho ili hao HPV wasirudi tena.
 
We we we we wee ishia hapo hapo kabra sijaingia ndani kuchukua bunduki hapo ni kichwani au?
 
dah pole sana mkuu ila kuna watu badala ya kutoa pole wanalamba ulimi wapo humu wazee wa kwa mparange..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mparange ndo wapi na kuna nini ? Wengine dar hatuijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…