wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hivi inashika hadi wanaumeBawasili ndio jina la huo ugojnwa wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inashika hadi wanaumeBawasili ndio jina la huo ugojnwa wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]dah pole sana mkuu ila kuna watu badala ya kutoa pole wanalamba ulimi wapo humu wazee wa kwa mparange..[emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu pole sana hiyo ni warts na dawa yake kama sikosei ni dosal kuna rafiki yangu mmoja ulishampataga tulipataga dawa pale hindu mandal hosp.lakini haikuwa rahisi kuzipata maana madaktari walikataa ikabid jamaa avuwe nguo ainame awaonyeshe ndo wakakubali kutupatia hizo dawa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Duuuh. Mkuu pakaga mafuta hata makalio. Kalio gumu kama gome la mwembe.
Mengineyo ngoja wausika waje.
DuuPole sana mkuu ngoja nichekee pembeni kwanza..
Warts Hizo Nenda Pharmacy kanunue Dawa inaitwa Podosal
Mara Nyingi Vinasababishwa na papiloma Virus(HPV).. kwa Inawezekana ulitembea na Mwanamke Ambaye Ameshaambukizwa HPV
hhhaaaahhahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaNaiona sababu ya wew kuja humu
Kuliko kwenda hosp
Warts Hizo Nenda Pharmacy kanunue Dawa inaitwa Podosal
Mara Nyingi Vinasababishwa na papiloma Virus(HPV).. kwa Inawezekana ulitembea na Mwanamke Ambaye Ameshaambukizwa HPV
[emoji102]Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali mficha maradhi kifo humuumbua !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwaiyo unataka kusema wanaume wamemnaniliu afu wakamuambikiza hiyo madude?Kwani hawezi kuwa kaambukizwa na mwanmme?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwaiyo unataka kusema wanaume wamemnaniliu afu wakamuambikiza hiyo madude?
no hii sio bawasili bawasili ni hemoroids inflamation huu ugonjwa ni wart unasababishwa na human papiloma virus kutokana na sababu hizi kutumia public shower,working with affected meat,low immunity N.K
Kwa mparange ndo wapi na kuna nini ? Wengine dar hatuijuidah pole sana mkuu ila kuna watu badala ya kutoa pole wanalamba ulimi wapo humu wazee wa kwa mparange..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu jamaa anaumwa huyoMbona sioni vipele hapo wee shoga unataka wa kukuingiza dudu pumbavu kanyoe kwanza hayo ma.vu.zi ya mk.und.u bastardo