Huu ni ugonjwa gani

Huyo kijana ni muhuni basi! Ana umri gani kwani?

Chanzo kikubwa cha huo ugonjwa ni kwa njia ya kujamiiana.
19 mkuu.hata yeye mwenyewe baada ya kuomba msaada humu nilimuuliza akanijibu kwa uwazi kabisa. Bt nashkuru kwa msaada wa wana jf kijana anaendelea vizuri na dozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…